Kimokil

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimokil ni lugha ya Kiaustronesia nchini Mikronesia inayozungumzwa na Wamokil. Mwaka wa 1979 idadi ya wasemaji wa Kimokil imehesabiwa kuwa watu 1050. Pia kuna wasemaji 450 nchini Marekani (2010). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimokil iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimokil kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.