Kimamasa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimamasa ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamamasa kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 1997 idadi ya wasemaji wa Kimamasa imehesabiwa kuwa watu 100,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimamasa iko katika kundi la Kisulawesi-Kusini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimamasa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.