Kiluba-Kasai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Kiluba-Kasai ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Waluba-Kasai. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kiluba-Kasai imehesabiwa kuwa watu milioni sita na laki tatu. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiluba-Kasai kiko katika kundi la L30.

[hariri] Viungo vya nje

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiluba-Kasai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine