Kilontsi Mbebhaghu M. Mporogomyi
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kilontsi Muhama Mporogomyi)
Kilontsi Mbebhaghu M. Mporogomyi (amezaliwa tar. 16 Desemba 1949) ni mbunge wa jimbo la Kasulu Magharibi katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.
Tazama pia [hariri]
Marejeo [hariri]
- ↑ Mengi kuhusu Kilontsi Mbebhaghu M. Mporogomyi (13 Julai 2006). Rudishwa juu ya 11 Novemba 2011.
| Makala hiyo kuhusu wanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |