Kilhaovo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilhaovo (au Kimaru) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Myanmar na Uchina inayozungumzwa na Wajingpo. Mwaka wa 1997 idadi ya wasemaji wa Kilhaovo nchini Myanmar imehesabiwa kuwa watu 100,000. Pia kuna wasemaji 3500 nchini Uchina (2000). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kilhaovo iko katika kundi la Kiburmiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilhaovo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.