Kilevuka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilevuka (pia Kipainara) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Walevuka kwenye kisiwa cha Lembata. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kilevuka imehesabiwa kuwa watu 4000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilevuka iko katika kundi la Kibima-Lembata.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilevuka kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.