Kihulung

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kihulung ilikuwa lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia iliyozungumzwa na Wahulung kwenye kisiwa cha Seram. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kihulung imekadiriwa kuwa haifiki watu kumi, maana yake kwa sasa inaonekana kuwa imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kihulung iko katika kundi la Kimaluku.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kihulung kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.