Kigourmanchema

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kigourmanchema ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Burkina Faso, Togo, Niger na Benin inayozungumzwa na Wagourmanchema. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kigourmanchema nchini Burkina imehesabiwa kuwa watu 600,000. Pia kuna wasemaji 121,000 nchini Togo, 62,000 nchini Benin na 30,000 nchini Niger. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigourmanchema iko katika kundi la Kigur.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigourmanchema kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.