Kigorap

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kigorap ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wagorap kwenye visiwa vya Morotai na Halmahera. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kigorap imehesabiwa kuwa watu 1000. Wagorap wengi wameanza kuacha lugha yao kwa hiyo Kigorap iko hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha Kigorap haijaainishwa kwa ndani zaidi, sababu yake kuwa lugha ya Kigorap inaonekana kama mchanganyiko wa lugha nyingine, hasa Kitemate na Kimalay.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigorap kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.