Kifulfulde-Borgu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Kifulfulde-Borgu ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Benin inayozungumzwa na Wafulbe. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kifulfulde-Borgu nchini Benin imehesabiwa kuwa watu 280,000. Pia kuna wasemaji nchini Togo na Nigeria. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kifulfulde-Borgu kiko katika kundi la Kiatlantiki.

[hariri] Viungo vya nje

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kifulfulde-Borgu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine