Kifaduro
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kifaduro ni ugonjwa wa kohozi usababishwao na vijidudu vya Bordetella pertussis. Kohozi hudumu kwa wiki sita kabla halijaisha. Imekadiriwa kuwa watu milioni 48 hupatwa na kifaduro kila mwaka, na 295,000 hufariki nacho. Chanjo dhidi ya kifaduro hupatikana.
| Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kifaduro kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |