Kidineor

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidineor (au Kimaremgi) ni lugha ya Kitor-Kwerba nchini Indonesia inayozungumzwa na Wadineor. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kidineor imehesabiwa kuwa watu 55 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidineor iko katika kundi la Tor.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidineor kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.