Kibozaba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kibozaba (lugha))

Kibozaba ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wabozaba. Mwaka wa 1983 idadi ya wasemaji wa Kibozaba imehesabiwa kuwa watu 5500. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibozaba iko katika kundi la C40.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibozaba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.