Kibarrow-Point

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibarrow-Point ilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wabarrow-Point katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kibarrow-Point ilitoweka. Uainishaji wa lugha kwa ndani zaidihaujulikani kwa uhakika.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibarrow-Point kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.