Kibahonsuai
Kibahonsuai ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabahonsuai kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kibahonsuai imehesabiwa kuwa watu 200 tu. Kwa vile Wabahonsuai wengi wameshaanza kuacha lugha yao, Kibahonsuai imekaribia kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibahonsuai iko katika kundi la Kicelebiki.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
- lugha ya Kibahonsuai kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibahonsuai Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kibahonsuai katika Glottolog
- lugha ya Kibahonsuai kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibahonsuai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |