Kiargobba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiargobba ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Waargobba. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kiargobba imehesabiwa kuwa watu 10,900. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiargobba iko katika kundi la Kisemitiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiargobba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.