Karuma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Karuma katika ramani ya Uganda kama ambavyo inaonekana kwa majiranukta 02°15′16″N 32°14′37″E / 2.25444°N 32.24361°E / 2.25444; 32.24361

Karuma ni makazi katika Mkoa wa Magharibi huko nchini Uganda.

Mahali[hariri | hariri chanzo]

Karuma iko katika wilaya ya Kiryandongo, mkoa mdogo wa Bunyoro. Ni takribani kilomita 2.7 (maili 1.7), kwa barabara, kaskazini mwa Maporomoko ya Karuma (Karuma Falls).[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. GFC (6 January 2016). "Distance between Karuma, Northern Region, Uganda and Karuma Falls, Kiryandongo, Western Region, Uganda". Globefeed.com (GFC). Iliwekwa mnamo 6 January 2016.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)