Junior Ajayi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Oluwafemi Junior Ajayi (maarufu kama Junior Ajayi, alizaliwa 29 Januari 1996) ni mchezaji wa soka kutoka Nigeria anayeshiriki kama mshambuliaji katika klabu ya ligi kuu ya Misri, Smouha.[1][2]

Mafanikio[hariri | hariri chanzo]

Al Ahly[hariri | hariri chanzo]

  • Ligi Kuu ya Misri: 2016–17, 2017–18, 2018–19, 2019–20
  • Kombe la Misri: 2016–17, [2019–20
  • Kombe la Super la Misri: 2017, 2018
  • Ligi ya Mabingwa wa CAF: 2019–20, 2020–21
  • Super Cup ya CAF: 2021

Nigeria[hariri | hariri chanzo]

  • Medali ya shaba ya Olimpiki: Mwaka 2016

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Junior Ajayi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.