Julius Nepos

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Shaba inayoonyesha Julius Nepos

Julius Nepos (takriban 430480) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia mwezi wa Juni 474 hadi 28 Agosti 475. Alimfuata Glycerius.

Baada ya kuondoshwa madarakani aliendelea kutambuliwa kama Kaizari katika sehemu za Dalmatia ambapo alikaa, na za Gallia hadi kifo chake. Tarehe ya kifo chake haijulikani kwa uhakika.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Julius Nepos kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.