Joseph Afusi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Joseph Afusi (alizaliwa 11 Novemba 1982) ni kocha wa soka na mchezaji wa zamani wa Nigeria, ambaye hivi karibuni alikuwa Kocha Mkuu wa klabu ya Sheikh Jamal Dhanmondi Club katikaLigi Kuu ya Bangladesh Premier League.[1][2]

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Alicheza katika vilabu vya Sheikh Jamal Dhanmondi Club, FC Baden, Zug 94, FC Solothurn, Ceahlăul Piatra Neamţ, CS Buftea, na Minerul Lupeni.[3]

Heshima[hariri | hariri chanzo]

Kama Mchezaji[hariri | hariri chanzo]

FC Ceahlăul Piatra Neamț : Liga II

  • Washindi (1): 2008–09

Sheikh Jamal Dhanmondi Club

  • Bangladesh Premier League (1)
2010–11

Kama Meneja[hariri | hariri chanzo]

Sheikh Jamal Dhanmondi Club

  • Bangladesh Premier League (2)
2013–14, 2014–15
  • Federation Cup]] (

1): 2013-14

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. নিউজ, সময়. "আবারো শেখ জামালে জোসেফ আফুসি | খেলা". Somoy News (kwa Kibengali). Iliwekwa mnamo 2023-02-21. 
  2. "Jamal to bring back Joseph Afusi". bangladeshpost.net (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-02-21. 
  3. "J. Afusi". Soccerway. Iliwekwa mnamo 16 Januari 2015. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joseph Afusi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.