Jordyn Huitema

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jordyn Huitema

Jordyn Pamela Huitema (amezaliwa Mei 8, 2001[1]) ni Mkanada mchezaji wa mpira wa miguu wa kulipwa anayecheza kama mshambuliaji katika klabu ya Paris Saint-Germain F.C. (PSG) iliyoko daraja la kwanza kwa wanawake na pia timu ya taifa ya Kanada

Alifunga goli lake la kwanza la kitaifa akiwa mwenye umri wa miaka 16, kumfanya kuwa mchezaji bora kwenye michuano ya wanawake ya ligi ya UEFA kabla ya kufikisha 20 alikuwa ametajwa kama mrithi wa lejendi wa kikanada Christine Sinclair.[2][3][4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Profile". Canada Soccer (kwa en-CA). Iliwekwa mnamo 2021-12-17. 
  2. Jordyn Huitema now Canada's all-time top scorer in Women's Champions League play | CBC Sports
  3. Armstrong, Laura (2019-05-17), "Shades of Sinclair in PSG-bound Canadian Huitema", The Toronto Star (kwa en-CA), ISSN 0319-0781, iliwekwa mnamo 2021-12-17 
  4. "Forget Alphonso Davies - PSG's Jordyn Huitema just as much a star in the making | Goal.com". www.goal.com. Iliwekwa mnamo 2021-12-17.