Jimbo la Uchaguzi la Limuru
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
|
|
Nchi zingine · Atlasi |
Jimbo la Uchaguzi la Limuru ni mojawapo ya Majimbo 210 ya uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya majimbo matano yaliyo katika Wilaya ya Kiambu.
Yaliyomo |
Historia [hariri]
Jimbo hili lilianzishwa mnamo uchaguzi Mkuu wa 1963, mwaka ambapo Kenya ilipata uhuru. Mbunge wake wa kwanza alikuwa James Samuel Gichuru.
Wabunge [hariri]
| Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
|---|---|---|---|
| 1963 | James Samuel Gichuru | KANU | |
| 1969 | James Samuel Gichuru | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1974 | James Samuel Gichuru | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1979 | James Samuel Gichuru | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1983 | Jonathan Njenga | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja. |
| 1988 | Samuel Ngige Mwaura | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1992 | George Nyanja | Ford-Asili | |
| 1997 | George Nyanja | NDP | |
| 2002 | Simon Kanyingi Kuria | KANU | |
| 2007 | Peter Mungai Mwathi | Ford-People |
Kata na Wodi [hariri]
| Kata | |
| Kata | Idadi ya Watu* |
|---|---|
| Karambani | 27,369 |
| Limuru | 42,084 |
| Tigoni | 11,578 |
| Ndeiya | 26,892 |
| Ngecha | 12,318 |
| Rironi | 8,589 |
| Jumla | x |
| *Hesabu ya 1999 [2]. | |
| Wards | ||
| Wodi | Wapiga Kura Waliojisajili | Baraza la Utawala wa Mitaa |
|---|---|---|
| Bibirioni | 6,575 | Munisipali ya Limuru |
| Kamirithu | 13,100 | Munisipali ya Limuru |
| Limuru Central | 4,096 | Munisipali ya Limuru |
| Limuru East | 4,945 | Munisipali ya Limuru |
| Tigoni | 6,082 | Kiambu county |
| Ndeiya | 10,266 | Kiambu county |
| Ngecha | 10,283 | Kiambu county |
| Jumla | 55,347 | |
| *Septemba 2005 [3]. | ||
Tazama Pia [hariri]
- Maeneo bunge ya Kenya
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1992
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1997
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2002
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2007
Virejeleo [hariri]
- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007
- ↑ information.go.ke: CDF allocation by sector and location (2003-6)
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency