Jimbo la Uchaguzi la Lagdera

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Jimbo la Uchaguzi la Lagdera ni mojawapo ya Majimbo 210 ya uchaguzi nchini Kenya. JImbo hili linapatikana katika Wilaya ya Garissa mkoani Kaskazini Mashariki, miongoni mwa majimbo matatu ya Uchaguzi katika wilaya hiyo. Lina wodi kumi, zote zikiwachagua madiwani kwa baraza la Garissa County.

Kenya
Coat of arms of Kenya.svg

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi


Yaliyomo

Historia [hariri]

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi mkuu wa 1988.

Wabunge [hariri]

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988 Slan Ahmed Nuno KANU mfumo wa chama Kimoja
1992 Farah Maalim KANU
1997 Mohamed Mukhtar Shidiye KANU
2002 Abdillahi Sheikh Dahir KANU
2007 Farah Maalim ODM

Wodi [hariri]

Wodi
Wodi Wapiga Kura waliojiandikisha
Abakaile 1,086
Alango-Arba 1,486
Benane 2,921
Dadaab 3,262
Dagahaley 1,316
Damajale 1,290
Garufa 1,171
Goreale 1,325
Liboi 3,085
Modogashe 4,112
Jumla 21,054
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia [hariri]

Virejeleo [hariri]

Viungo vya Nje [hariri]