Jimbo la Uchaguzi la Ijara
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jimbo la Uchaguzi la Ijara ni mojawapo ya Majimbo 210 ya uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Wilaya ya Ijara mkoani Kaskazini Mashariki, na ndilo jimbo la pekee katika wilaya hiyo. Linashirikisha wodi saba, zote zikiwachagua madiwani kwa baraza la Ijara County.
| Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
|
|
Nchi zingine · Atlasi |
Yaliyomo |
Historia[hariri]
Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1988.
Wabunge[hariri]
| Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
|---|---|---|---|
| 1988 | Wasio N. Maalim Arte | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1992 | Wasio N. Maalim Arte | KANU | |
| 1997 | Mohamed Dahir Werah | KANU | |
| 2002 | Yusuf Mohamed Haji | KANU | |
| 2007 | Yusuf Mohamed Haji | KANU |
Wodi[hariri]
| Wodi | |
| Wodi | Wapiga Kura waliojisajili |
|---|---|
| Hadaro | 595 |
| Ijara | 2,165 |
| Ijara South | 1,990 |
| Korisa | 1,583 |
| Kotile | 833 |
| Masalani | 2,163 |
| Sangailu | 1,044 |
| Jumla | 10,373 |
| *Septemba 2005 [2]. | |
Tazama Pia[hariri]
- Maeneo bunge ya Kenya
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1992
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1997
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2002
Virejeleo[hariri]
- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency