Jimbo la Uchaguzi la Bobasi
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jimbo la Uchaguzi la Bobasi ni mojawapo ya Majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. JImbo hili linalopatikana katika Wilaya ya Gucha ni moja kati ya Majimbo matatu ya wilaya hiyo iliyo katika Mkoa wa Nyanza wa Kenya.
| Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
|
|
Nchi zingine · Atlasi |
Yaliyomo |
Historia [hariri]
Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi Mkuu wa 1988.
Wabunge [hariri]
| Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
|---|---|---|---|
| 1988 | Christopher Mogere Obure | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1992 | Stephen Kengere Manoti | Ford-K | |
| 1997 | Christopher Mogere Obure | Ford-K | |
| 2002 | Stephen Kengere Manoti | Ford-People | |
| 2007 | Christopher Mogere Obure | ODM |
Wodi [hariri]
| Wodi | ||
| Wodi | Wapiga Kura Waliojiandikisha | Utawala wa Mitaa |
|---|---|---|
| Emenwa / Nyoera | 3,884 | Nyamache (Mji) |
| Kiobegi / Gionseri | 4,938 | Nyamache (Mji) |
| Nyachogochogo | 3,297 | Nyamache (Mji) |
| Nyantira | 2,468 | Nyamache (Mji) |
| Mosora | 1,753 | Ogembo (Mji) |
| Sameta | 3,025 | Ogembo (Mji) |
| Bobasi Chache | 7,896 | Gucha county |
| Bobasi Masige | 6,864 | Gucha county |
| Igare | 8,617 | Gucha county |
| Maji Mazuri | 4,184 | Gucha county |
| Nyacheki | 12,039 | Gucha county |
| Nyangusu | 6,089 | Gucha county |
| Jumla | 65,054 | |
| *Septemba 2005 [2]. | ||
Tazama Pia [hariri]
- Maeneo bunge ya Kenya
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1992
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1997
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2002
Virejeleo [hariri]
- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
VIungo vya Nje [hariri]