Wilaya ya Laghouat

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Jimbo la Laghouat)
Wilaya ya Laghouat, Algeria
Jimbo la Laghouat
ولاية الأغواط

Ramani ya Algeria imekoozeshwa katika Jimbo la Laghouat
Kodi ya Jimbo 3
Kodi ya Eneo +213 (0) 29
Ngazi ya Utawala
Wilaya 10
Manispaa 24
Takwimu za Msingi
Eneo 25,057 km² (9,675 sq mi)
Idadi ya wakazi 477,328[1] (2008)
Density 19.0/km² (49,3/sq mi)

Laghouat (Kiarabu:ولاية الأغواط) ni jina la jimbo lililopo katikati ya nchi ya Algeria. Jina linamaanisha "sehemu mwanana". Mji mkuu wa jimbo hili ni Laghouat. Wilaya za karibu na jimbo hapa ni pamoja na Aflou, Ain Madhi, Kourdane na Makhareg.

Mgawanyiko wa kiutawala jimboni hapa[hariri | hariri chanzo]

Jimbo limegawanyika katika tarafa 10 na manispaa 24. Tarafa zake:

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Office National des Statistiques, Recensement General de la Population et de l’Habitat 2008 Preliminary results of the 2008 population census. Accessed on 2008-07-02.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Laghouat kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.