Jimbo la Chlef
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Wilaya ya Chlef (Aljeria))
| Jimbo la Chlef | |
| ولاية الشلف | |
Ramani ya Algeria imekoozeshwa katika Jimbo la Chlef |
|
| Kodi ya Jimbo | 2 |
| Kodi ya Eneo | +213 (0) 27 |
| Ngazi ya Utawala | |
| Wilaya | 13 |
| Manispaa | 35 |
| Liwali | Mr. Mohamed El Ghazi |
| Rais wa Bunge | Mohamed Meheni (FLN) |
| Takwimu za Msingi | |
| Eneo | 4,975 km² (1,921 sq mi) |
| Idadi ya wakazi | 1,013,718[1] (2008) |
| Density | 203.8/km² (527.7/sq mi) |
Chlef (Kiarabu:| الشلف ash-shlef) ni jina la jimbo la nchini Algeria. Takriban watu milioni 1 wanaishi jimboni hapa. Mji mkuu wa jimbo hili ni Chlef. Wilaya yake ya karibu ni Ténès, ambayo ipo kwenye eneo la Bahari ya Mediteranea.
Mgawanyiko wa kiutawala jimboni hapa[hariri]
Imegawanyika katika wilaya 13 na manispaa 35. Wilaya zake ni:
- Abou El Hassan
- Aïn Merane
- Béni Haoua
- Boukadir
- Chlef
- El Karimia
- El Marsa
- Oued Fodda
- Ouled Ben Abdelkader
- Ouled Farès
- Taougrit
- Ténès
- Zeboudja
Marejeo[hariri]
- ↑ Office National des Statistiques, Recensement General de la Population et de l’Habitat 2008 Preliminary results of the 2008 population census. Accessed on 2008-07-02.
Viungo vya Nje[hariri]
|
|||||||
| Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Jimbo la Chlef kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |