Jaribio la McNemar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Katika takwimu, Jaribio la McNemar (kwa Kiingereza: McNemar's test) ni jaribio la takwimu ambalo linaweza kujaribu upweke kati ya wastani mbili.

Jaribio la McNemar ni mbadala wa Jaribio T la Mwanafunzi.

Kwa programu ya takwimu R[hariri | hariri chanzo]

Ili utafute jaribio la McNemar kwa lugha ya programu ya takwimu R uandike:

> mcnemar.test(x, y = NULL, correct = TRUE)

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Saleh, A. M. E., & Ehsanes, M. (2001). An introduction to probability and statistics. Wiley.
  • Peck, R., Olsen, C., & Devore, J. L. (2015). Introduction to statistics and data analysis. Cengage Learning.
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jaribio la McNemar kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.