Jamila Schäfer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamila Schäfer

Jamila Anna Schäfer (alizaliwa mnamo tarehe30 Aprili 1993) ni mwanasiasa wa nchini Ujerumani na mwanachama wa Chama cha Kijani cha Ujerumani ambaye amekuwa akihudumu kama mwanachama wa Bundestag ya Ujerumani tangu uchaguzi wa mwaka 2021, akiwakilisha wilaya ya Munich Kusini. Kuanzia mwaka 2018 hadi 2022 alihudumu kama mmoja wa naibu mwenyekiti wa chama chake, chini ya uongozi wa Annalena Baerbock na Robert Habeck.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jamila Schäfer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.