Jamhuri ya Krim
Mandhari
Jamhuri ya Krim (kwa Kirusi: Республика Крым; kwa Kiukraina: Крим) ni jina la mkoa wa Ukraina uliopo kwenye rasi ya Krim upande wa kaskazini ya Bahari Nyeusi. Mkoa huu uliotekwa na Urusi mwaka 2014 lakini uvamizi huo haujakubalika kimataifa.
Mji mkuu wake ni Simferopol.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Urusi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Jamhuri ya Krim kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |