Iyasu IV

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Iyasu IV alikuwa mfalme wa Ethiopia kuanzia tarehe 18 Juni 1830 alipomfuata Gigar, hadi tarehe 18 Machi 1832 alipotolewa madarakani. Alikuwa mwana wa Solomon III. Aliyemfuata ni Gebre Krestos.

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Uhabeshi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Iyasu IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.