Iqaluit

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Iqaluit
Nchi Kanada
Eneo Nunavut
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 6,184
Tovuti:  www.city.iqaluit.nu.ca

Iqaluit (iqɑluit, ᐃᖃᓗᐃᑦ) ndiyo mji mkuu wa eneo la Nunavut. Ni pia mji mkubwa wa kwanza katika eneo huu. Mji la Iqaluit liko katika pwani ya mashariki ya kisiwa cha Baffin. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao 6,184 wanaoishi katika mji huu. Eneo lake ni 52.34 km².

Mji ulianzishwa 1942.

Makuu ya St. Jude
Kuacha ishara
Kanada Siku
kisiwa cha Baffin na mji wa Iqaluit


Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Iqaluit kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.