ICSU

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

ICSU ni kifupisho cha International Council of Scientific Unions yaani Baraza la Kimataifa la Mashirika ya Kisayansi. Jina lingine ni International Council for Science, yaani Baraza la Kimataifa kwa ajili ya Sayansi.

Makao makuu yako Paris, Ufaransa. Ina wawakilishi wa nchi 140.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu "ICSU" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.