Huddinge
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Huddinge ni manispaa na mji nchini Uswidi. Kuna wakazi 100,116 (mwaka 2012) [1]. Pia ni pambizo wa Stockholm
Jiografia [hariri]
Eneo lake ni 140,63 km².
Viungo vya nje [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Huddinge kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |