Houwhoek Pass

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Houwhoek Pass ni njia kwenye barabara ya kitaifa N2 katikati ya Grabouw na Botrivier kwenye rasi ya mkoa wa magharibi (Western Cape province),Afrika kusini.Njia yenyewe ina ruhusu magari ya (kwenda na kurudi) njia hiyo ipo mita 340 juu ya usawa wa bahari .Barabara ya tawi la Overberg pamoja na nja ya zamani ya Houwhoek ziko karibu, na zinamuelekeo sambamba lakini pia zikiwa karibu na Mto wa Jakkals.Hoteli na shamba la Houw yapo karibu na makutano ya njia

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.