Houston Rockets
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Houston Rockets ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Houston, Texas. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Yao Ming.
Viungo vya Nje [hariri]
| Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Houston Rockets kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |