Hisa (hisabati)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hisa katika hisabati ni tokeo la mgawanyo au hesabu ya kugawanya namba moja kwa nyingine.

Kama swali ni 6 ÷ 3 basi hisa yake ni 2. Katika mfano huu 6 na 3 huitwa vigawanyo.

WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Hisa (hisabati)" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Hisa (hisabati) kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.