Msitu ya Amani
(Elekezwa kutoka Hifadhi ya Msitu ya Amani)
Msitu wa Amani ulianzishwa mwaka 1997 kwa ajili ya kulinda vizazi vya uoto wa flora na fauna katika upande wa mashariki mwa Milima ya Usambara.
Uhifadhi huo kwa sasa umekuwa ni kivutio kizuri cha utalii kwani kimezidi kukua na kuongezeka. Eneo hili lina makundi makubwa ya ndege, vipepeo na miti ambayo mingine hupatikana katika hifadhi hii tu. Pia kuna nyani weupe, weusi na wa rangi ya bluu. Pia kuna aina tisa za mimea jamii ya violet (African violet) na ndege kam bundi na taiNduk Eagle owl ambao wanapatikana katika hifadhi hii pekee.[1]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Majarida ya uhifadhi na utalii wa Tanzania
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
- Utalii wa Tanzania Archived 13 Januari 2010 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Msitu ya Amani kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Makala hii kuhusu "Msitu ya Amani" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema. |