Herennius Etruscus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu la Herennius Etruscus

Herennius Etruscus (takriban 227 - Juni 251) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma pamoja na baba yake Decius kuanzia mwanzoni mwa mwaka 251 hadi kifo chao mwaka huohuo.

Alimfuata Filipo Mwarabu na kufuatwa na Trebonianus Gallus na Hostilian.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Herennius Etruscus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.