Hamilton, New Zealand
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
|
|
|
|---|---|
Mji wa Hamilton (New Zealand) |
|
|
|
|
| Mkoa | Waikato |
| Anwani ya kijiografia | Latitudo: 37°47′0″ - Longitudo: 175°17′0″E |
| Eneo | 98 km² |
| Wakazi | 143,000 (mji pekee) 203,400 (pamoja na rundiko) |
| Msongamano wa watu | watu 1,459.2 (mji pekee) kwa km² |
| Simu | +64 (nchi), 07 (mji) |
| Mahali | |
Hamilton (Kimaori: Kirikiriroa) ni mji wa New Zealand mwenye wakazi 143,000 (2010). Iko upande wa kaskazini wa kisiwa. Eneo lake ni 98 km². Mji ulinazishwa mwaka 1864.
Viungo vya nje [hariri]
- (Kiingereza) Tovuti rasmi
| Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Hamilton, New Zealand kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |