Hamdi Akujobi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hamdi Akujobi (2024)

Hamdi Jobi Akujobi (alizaliwa 20 Januari 2000) ni mchezaji wa soka wa Uholanzi ambaye anacheza kama beki wa kulia wa klabu ya Eerste Divisie Almere City.

Kazi ya kitaaluma[hariri | hariri chanzo]

Tarehe 25 Aprili 2019, Akujobi alitia saini mkataba wake wa kwanza wa kikazi na klabu ya SC Heerenveen kwa miaka mitatu. [1]

Ushiriki Kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Akujobi ni mzaliwa wa Uholanzi,pia ana asili ya Nigeria. Aliitwa katika kikosi cha awali cha timu ya taifa ya Nigeria chini ya umri wa miaka 20 kushiriki Kombe la Dunia la FIFA la U-20 la 2019. [2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo Vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hamdi Akujobi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.