Haki za wanawake nchini Brazil

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Majukumu ya kijamii ya wanawake nchini Brazili yameathiriwa pakubwa na mila za mfumo dume wa utamaduni wa Waiberia, ambao huwaweka wanawake chini ya wanaume katika mahusiano ya kifamilia na kijamii.[1] Peninsula ya Iberia, ambayo inaundwa na Uhispania, Ureno na Andorra, kwa jadi imekuwa mpaka wa kitamaduni na kijeshi kati ya Ukristo na Uislamu, ikiendeleza mila dhabiti ya ushindi wa kijeshi na kutawala kwa wanaume.[2] Tamaduni za wazee zilihamishwa kwa urahisi kutoka Peninsula ya Iberia hadi Amerika ya Kusini kupitia mfumo wa encomienda ambao ulikuza utegemezi wa kiuchumi kati ya wanawake na watu wa kiasili nchini Brazili.[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Women's rights in Brazil", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-04-02, iliwekwa mnamo 2022-05-24 
  2. "Women's rights in Brazil", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-04-02, iliwekwa mnamo 2022-05-24 
  3. "Women's rights in Brazil", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-04-02, iliwekwa mnamo 2022-05-24