George E. Smith

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
George E. Smith

George Elwood Smith (amezaliwa 10 Mei, 1930) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa amechunguza vipitishi vya umeme na leza. Mwaka wa 2009, pamoja na Charles Kao na Willard Boyle, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu George E. Smith kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.