Ffion Morgan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Morgan akiwa Bristol City mnamo 2022

Ffion Alys Morgan (alizaliwa 11 Mei 2000)ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Wales ambaye anacheza kama beki wa klabu ya Bristol City Ligi Kuu ya Wanawake (WSL)[1] na timu ya taifa ya Wales.[2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "- News". Crystal Palace F.C. (kwa en-GB). Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
  2. "Wales - F. Morgan - Profile with news, career statistics and history - Soccerway". my.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
  3. "Netherlands vs. Wales - 8 July 2017 - Soccerway". uk.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ffion Morgan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.