Eric Rutanga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Eric Rutanga
Maelezo binafsi
Tarehe ya kuzaliwa 3 Novemba 1992 (1992-11-03) (umri 31)
Mahala pa kuzaliwa    Kigali, Rwanda
Urefu 1.76 m (5 ft 9 12 in)
Nafasi anayochezea Beki wa pembeni kushoto

Kiungo Mkabaji

Maelezo ya klabu
Klabu ya sasa Yanga Sc
Namba 10
Klabu za vijana
APR 2013-2017

Rayon Sports 2017-2020


Yanga Sc 2020-

Timu ya taifa
Rwanda

* Magoli alioshinda



Eric Rutanga (amezaliwa 3 Novemba 1992) ni mchezaji wa kandanda au mpira wa miguu akiichezea klabu ya Yanga Sc ya Tanzania na timu ya taifa ya Rwanda.


Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Eric Rutanga kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.