Emmanuel Boateng

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Emmanuel Boateng
Emmanuel Boateng akiachia shuti kali

Emmanuel Okyere Boateng (alizaliwa Mei, 1996) ni mchezaji wa soka wa Ghana, anayecheza kama mshambuliaji katika klabu ya Hispania, itwayo Levante UD.

Moreirense[hariri | hariri chanzo]

Mnamo tarehe 7 Julai 2015, Boateng na mwenzake wa Rio Ave Ernest Ohemeng walifanya hoja ya kudumu na kuhamia katika klabu ya Moreirense.

Levante[hariri | hariri chanzo]

Mnamo tarehe 16 Agosti 2017, Boateng alisaini mkataba wa miaka minne(4) na klabu ya Levante UD upande wa La Liga nchini Hispania.

Tarehe 13 Mei 2018, alifunga goli la kwanza mechi dhidi ya mabingwa wa La liga Barcelona.Ambapo Levante walishinda mechi hiyo kwa magoli 5-4.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Emmanuel Boateng kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.