Element Eleeeh

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Fred Robinson Mugisha (pia anajulikana kwa jina lake la kisanii Element Eleeeh; alizaliwa Julai 26, 2000) ni mtayarishaji wa rekodi na mtunzi wa nyimbo kutoka Rwanda anayesifiwa kwa kutengeneza nyimbo maarufu za hapa nchini akiwemo Bruce Melody, Mani Martin, The Ben, Meddy na wasanii wa kimataifa kama WizKid, Davido na wengine wengi [1] [2]. Alipata umaarufu kwa tagi yake ya kipekee 'Eleeeh', mwanzoni au mwisho wa utayarishaji wake wote wa muziki [3][4] .

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Producer Element on making hits, steering Rwanda’s music industry in right direction". The New Times | Rwanda (kwa Kiingereza). 2021-02-10. Iliwekwa mnamo 2022-04-14. 
  2. Vava, Neza valens. "Element yahishuye ko ari gukorera indirimbo Wizkid, Diamond n’abandi bahanzi b'ibikomerezwa ku isi - Inyarwanda.com". inyarwanda.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-04-14. 
  3. "Umwana w'i Karongi! Ibiteye amatsikokuri Element, Producer ugezweho i Kigali". hose.rw (kwa en-US). 2020-05-12. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-03-24. Iliwekwa mnamo 2022-05-10. 
  4. "How Producer ‘Element’ Dropped Earlier Dream". KT PRESS (kwa en-US). 2020-09-04. Iliwekwa mnamo 2022-04-14.