Echicha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bakuli lenye Echicha (Achicha)
Bakuli lenye Echicha

Ẹchịcha (pia: Achịcha) ni mlo wa asili wa sehemu ya Waigbo wa Nigeria inayojumuisha zaidi Cocoyam kavu, mgbụmgbụ (mbaazi ya Njiwa), na mafuta ya mawese. Kijadi huliwa kiangazi, wakati mboga mbichi ni ngumu kupatikana.

Ẹchịcha hutengenezwa kwa kuanika kakaamu iliyokaushwa na mgbụmgbụ hadi ziwe laini, kisha kuchanganya hivi viwili vizuri na mchuzi uliotengenezwa kwa mawese, ụgba (mbegu ya maharagwe ya mafuta),[1] vitunguu, pilipili mbichi na chumvi.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Ugba: The African Salad". IMDiversity.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 21 April 2012. Iliwekwa mnamo 11 July 2012.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. "Achicha". NigeriaGalleria.Com. Iliwekwa mnamo 11 July 2012.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Echicha kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.