Ebitimi Agogu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ebimi Agogu (alizaliwa 26 Desemba 1987 [1] huko Otuan, Jimbo la Bayelsa [2] ) ni mwanasoka, ambaye anachezea klabu ya Bayelsa United F.C.

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Agogu ambaye alianza taaluma yake katika klabu ya Bayelsa United na baadae kusajiliwa na klabu ya Sharks F.C. ya Port Harcourt mwaka wa 2010,[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Football : Ebitimi Agogu - Footballdatabase.eu
  2. "Bayelsa Grab Ambrose, Hold Tight On Okonkwo - Nigerian Observer". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-04-11. Iliwekwa mnamo 2013-03-11.  Unknown parameter |url-status= ignored (help)
  3. 3SC register 29 players - MTNFootball Archived 2014-03-07 at the Wayback Machine
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ebitimi Agogu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.