Dordrecht
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Dordrecht | |||
| Kitovu cha mji wa Dordrecht | |||
|
|||
| Mahali pa mji wa Dordrecht katika Uholanzi | |||
| Anwani ya kijiografia: 51°48′N 4°40′E / 51.8°N 4.667°E | |||
| Nchi | Uholanzi | ||
|---|---|---|---|
| Mkoa | Zuid-Holland | ||
| Idadi ya wakazi (2008) | |||
| - Mji | 118,250 | ||
| Tovuti: dordrecht.nl | |||
Dordrecht ni mji wa mkoa wa Zuid-Holland nchini Uholanzi. Mji ulianzishwa 1120. Idadi ya wakazi wake ni takriban 118,250.
Tazama pia [hariri]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
| Makala hii kuhusu maeneo ya Uholanzi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Dordrecht kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |